Difference between revisions 1003427 and 1003434 on swwiki

{{Msanii muziki 2
|Jina = Professor Jay
|Background = solo_singer
|Img =
|Img capt =
|Jina la kuzaliwa = Joseph Haule
|P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy
|Asili yake = [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]]
|Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}}
|Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]]
|Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]],
|Miaka ya kazi =
|Studio =
|Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]]
|Tovuti = http://www.Professorjay.net
}}
'''Joseph Haule''' (amezaliwa [[tar.ehe]] [[29 Desemba]] [[1975]]) ni [[Mtanzania]] [[msanii]] wa [[muziki wa hip hop]] nambaye vilevile [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>  



Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Professor Jay'''. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza e [[muziki]] wa [[Bongo Flava]]. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la [[Hard Blasters Crew]] - [[Chemsha Bongo]]. Professor Jay anatokea kundi la [[Hard Blasters Crew]]. Kundi hilio ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huup, ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya', kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa [[TWatanzania]].

== Maisha ya muziki ==
Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo [[miaka ya 90 hivi1990]] na alijiunga na kundi la '[[Hard Blasters Crew]]'  (HBC) mnamo mwaka [[1994]]. Mwaka [[1995]] Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini [[Tanzania]]. 



Jay na HBC walitoa [[albamu]] ya kwanza iitwayo 'Funaga Kazi' mwaka [[2000]]. Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini [[Tanzania]]. Albamu hii yenye [[ujumbe]] mzito ina nyimbo kama   'Chemsha Bongo' na 'Mamsapu' ambazo zilichangia kufanya muziki wa '[[Bongo Flava]]' kuwa wa kila [[rika]] na kupewa [[heshima]]. Kabla ya hapo muziki huuo ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni.

== Msanii Bbinafsi ==
Professor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo [[2001]] na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo "Machozi Jasho na Damu". Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata apate [[tuzo]] ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nywimbo ywake ywa 'Ndio Mzee' kutoka kwenye albamu hiyo. na i, wkifuatiwa na Nywimbo ywa "Piga Makofi na  Bongo [[Dar es Salaam]]"

[[Mwaka]] [[2003]] Aalitoa albamu ya pili iitwayo "Mapinduzi Halisi" ambayo nayo ilishinda tuzo ya [[Kili Music Awards]] kuwa albamu bora ya [[Mmuziki]] wa Hip Hop nchini [[Tanzania]] kwa [[mwaka]] [[2003]]. Albamu hii imebeba  nNyimbo kama "Zali la Mentali", "Msinitenge," na "Promota Anabeep"

[[Mwaka]] [[2006]] [[Januari]] alitoa albamu ya tatu iliyoitwa "J.O.S.EP.P.H".  Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka [[Mwanzo]] kabla ya Aalbamu kutoka. NyWimbo hii iuu ulichaguliwa kuwa nywimbo bora ywa [[Bongo Flava]] kwenye [[BBC]] na [[Radio One Awards]].

Mpya imewahi [[kuteuliwa]] kuwa ni albamu bora ya Hip Hop  , [[Mmtunzi]] bora wa nyimbo za Hip Hop, na [[Nyimbo]] bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. [[2006]]."Nikusaidieje". na Bbaadae
ye [[Kisima Music Awards]] ya [[Kenya]] ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini [[Tanzania]].

== Tuzo Alizopata ==
* '''1''' [[Kili Music Awards]] (  [[2003]]  )
* '''  2''' [[BBC]], [[Radio One Awards]] (  [[2006]]  )
* '''3''' [[Kili Music Awards]] (  [[2006]]  )

== Muhtasari wa Albamu ==
* '''1''' Aluta Continua  (  [[2007]]  ) Ipo Njiani [[Kutolewa]]
* '''2''' J.O.S.E.P.H.    (  [[2006]]  )
* '''3''' [[Mapinduzi]] Halisi (  [[2003]]  )
* '''4''' [[Machozi]] [[Jasho]]o na [[Damu]] (  [[2001]]  )

== Alioshirikiana nao kimuziki ==
* '''1''' [[Lady Jay Dee]]. ( [[Bongo]] [[Dar es Salaam]] na Nimeamini)
* '''2''' [[Mc Babu Ayubu]].   ( Ndio Mzee )
* '''3''' [[Juma Nature]].  ( Ndio Mzee na Zali la Mentali )
* '''4''' [[Q Chilah]].     ( Msinitenge )
* '''5''' [[Inspector Haroun]]. ( Hakuna Noma )
* '''6''' [[Simple X]].          ( Piga Makofi na Hakuna Noma )
* '''7''' [[Jose Chameleone]].    ( Ndivyo Sivyo - Kutoka [[Uganda]] )
* '''8''' [[Adil a.k.a Hisabati]].    ( Tunawakilisha na Rapper Msaidizi kwenye Ziara - Kutoka [[Tanzania]] )

==Tanbihi==
{{reflist}}

==Viungo vya Nnje==
[http://www.Professorjay.net Professor Jay Tovuti Binafsi]
[http://www.kwetubongo.com Kwetu Bongo]
<p>[http://www.swahiliremix.com Tovuti ya Swahili Remix]</p>

{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1975]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]