Difference between revisions 816532 and 865679 on swwiki

'''IMMAGINE&POESIA''' ni harakati ambazo zinaunganisha taswira iliyoandikwa kimaneno. Hizi ni harakati za kisanaa za kisasa.<ref>http://imagespoetry.wordpress.com/honorary-members-of-immaginepoesia-2/</ref>  
[[File:Logo-immaginepoesia.gif|thumb|left|125px]]
[[Picha:Aeronwy thomas.jpg|125px|thumb|left|[[Aeronwy Thomas]] in [[Torino]],[[Itali]], 2006]]
[[Picha:IMMAGINE&POESIA 2008 poster.gif|125px|thumb|right|posta ya IMMAGINE&POESIA (2008) na Gianpiero Actis, Italia]]


== Chimbuko ==
Ilianzishwa katika ''Alfa Teatro'', [[Torino]], [[Italia]] mnamo [[2007]], na kikundi cha washairi na wasanii ikiwa ni pamoja na [[Aeronwy Thomas]], binti wa [[Dylan Thomas]], Lidia Chiarelli, Gianpiero Actis na wengineo wengi, ambao wanaamini kwamba nguvu ya neno lililoandikwa na nguvu ya taswira, zikiungana, inaumba kazi mpya ambayo si nzuri tu kuliko visehemu, bali hubadilisha na kukuzwa na muungano.  

Mshairi wa Kimarekani [[Lawrence Ferlinghetti]]<ref>http://www.salottoletterario.it/foto_index/certificato_ferlinghetti.pdf</ref> na msanii wa Kiitalia [[Ugo Nespolo]] ni wanachama wa Kamati ya Heshima ya IMMAGINE&POESIA. Beverly Matherne, mshairi na profesa katika Chuo Kikuu cha Northern Michigan, naye ni mwanachama wa harakati hizi. Mtahakiki rasmi wa sanaa katika harakati hizi ni Bi. Mary Gorgy <ref>http://imagespoetry.wordpress.com/immaginepoesia-now-and-then-by-mary-gorgy-fine-art-photo-by-adel-gorgy-long-island-n-y/</ref> na Enzo Papa.
[[Picha:The Manifesto.JPG|thumb|left|Ilani: "The proclamation of The Manifesto of IMMAGINE&POESIA on the stage of Alfa Teatro, Torino, 9 November 9,a 2007"]]


== Ilani ==
Ilani yake imetafsiriwa katika lugha zipatazo 28. Inavipengele vipatavyo 10. Kipengele cha nne kinaonesha ''wakati wa kustawisha'' wasanii na washairi: mchoraji anaweza kuangazia ushairi au utunzi wa ushairi waweza kuangazia uumbaji shughuli za sanaa, jibu lake ni sanaa mpya iliyokamilika.<ref>http://imagespoetry.wordpress.com/the-manifesto-of-immaginepoesia-2/</ref>
<ref>http://immaginepoesia.jimdo.com/about-us/translations-of-the-manifesto/</ref>
[[Picha:IMMAGINE&POESIA Wish Tree.JPG|125px|thumb|left|Kadi na mashairi yaliyochorwa na wanachama wa IMMAGINE&POESIA kwa ajili ya [[Yoko Ono]] Wish Tree, (imewekwa katika [[MoMA]] na [[Hirshhorn Museum)]]]]

== Maonyesho ==
Tangu mwaka wa 2007 harakati imeandaa maonyesho ya usomaji wa ushairi na vingingevyo ambapo taswira na maneno vinashabihiana. Maonyesho yaliyopata sifa zaidi ni yale yaliyofanyika nchini Italia, [[Uingereza (nchi)|Uingereza]] na [[Marekani]]

==Web Site==
http://immaginepoesia.jimdo.com/

== Marejeo ==
{{mMarejeo}}

[[Jamii:Harakati za sanaa]]

[[af:IMMAGINE&POESIA]]
[[als:IMMAGINE&POESIA]]
[[am:ኢማጅን እና ፖኤሲያ]]
[[ang:Biliþ and lēoþcræft]]
(contracted; show full)[[tr:IMMAGINE&POESIA]]
[[tt:Сәнгать һәм поэзия]]
[[ug:IMMAGINE&POESIA]]
[[uk:Immagine & poesia]]
[[vi:IMMAGINE&POESIA]]
[[war:IMMAGINE&POESIA]]
[[wo:IMMAGINE&POESIA]]
[[zh:IMMAGINE&POESIA]]