Difference between revisions 851699 and 888435 on swwiki'''Unafiki''' ni utovu wa [[ukweli]] katika mwenendo wa [[binadamu]] hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. kama mwanadini [[maadili|mwadilifu]]. Tofauti na [[mkosefu]], mnafiki anatenda vema kwa nje, lakini nia yake si kufuata [[dhamiri]] yake na maadili anayojua ni mazuri, bali ni kupendeza watu wengine ili kupata faida fulani kutoka kwao. Ni jambo linalolaumiwa sana katika [[dini]] zote, hasa [[Ukristo]], kutokana na lawama za [[Yesu]] dhidi ya viongozi wengi wa [[Uyahudi]]. [[Injili]] zinasisitiza hasa lawama zake dhidi ya baadhi ya [[Mafarisayo]]. {{mbegu-elimu}} [[Jamii:Maadili]] [[Jamii:Saikolojia]]⏎ ⏎ [[ar:نفاق]] [[bs:Licemjerje]] [[ca:Hipocresia]] [[cs:Pokrytectví]] [[da:Hykleri]] [[de:Heuchelei]] [[en:Hypocrisy]] [[eo:Hipokriteco]] [[es:Hipocresía]] [[et:Silmakirjalikkus]] [[fa:نفاق]] [[fi:Tekopyhyys]] [[fr:Hypocrisie]] [[ga:Cealgaireacht]] [[he:צביעות]] [[hi:पाखण्ड]] [[hr:Licemjerje]] [[hu:Álszenteskedés]] [[id:Hipokrisi]] [[io:Hipokriteso]] [[it:Ipocrisia]] [[ja:偽善]] [[kk:Екіжүзділік]] [[nl:Hypocrisie]] [[oc:Ipocrisia]] [[pl:Hipokryzja]] [[pt:Hipocrisia]] [[ru:Лицемерие]] [[sh:Hipokrizija]] [[sq:Hipokrizia]] [[sr:Хипокризија]] [[sv:Hycklare]] [[tr:İkiyüzlülük]] [[uk:Лицемірство]] [[yi:היפאקריטיע]] [[zh:偽君子]] [[zh-yue:偽君子]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=888435.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|