Difference between revisions 889023 and 934148 on swwiki'''Cecilia Wairimu''' (alizaliwa mnamo 1980 mjini [[Thika]]), anafahamika zaidi kwa jina lake la jukwaa '''Amani''' i, ni [[mwanamuziki]] wa pop kutoka [[Kenya]]. ⏎ ⏎ ⏎ ⏎ Ameshinda tuzo mbalimbali, ikiwemo tuzo la [[mwanamke]] mwanamuziki bora katika tuzo za MAMA (MTV Africa Music Awards) mwaka wa 2009. == Wasifu == Alisomea katika shule ya Upili ya Bishop Gatimu Ngandu, ambako alikuwa katika kundi la accapella la ''Sobriety'' . Amani saini mkataba wa [[Ogopa Deejays]] mwaka wa 1999, punde tu alipomaliza skuli ya upili. Nyimbo yake ya kwanza "Move on" ilienea sana katika stesheni za redio na ilifuatwa na nyimbo zingine kama vile "Tahidi" na "Papii". (contracted; show full)* 2009 Tuzo za video za muziki za Channel O - Bora Afrika Mashariki ( "Tonight") <ref name="n3780"/> * 2009 Tuzo za video za muziki za Channel O - Video ya mwaka( "Tonight") <ref name="n3780"/> == Marejeo == {{Marejeo}} [[Jamii:Waliozaliwa 1980]] [[Jamii:Wa tu walio hai]] [[Jamii:Wanamuziki wa Kenya]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=934148.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|