Difference between revisions 929323 and 1139747 on swwiki'''David Mathayo David''' (amezaliwa [[24 Julai]], [[1969]]) ni [[Wabunge wa Tanzania|Mbunge]] katika [[Bunge]] la [[Tanzania]]. ==Chanzo== * Tovuti ya [http://www.bunge.go.tz Bunge la Tanzania] {{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}} (contracted; show full)ha kilimo huko Serowe. Mathayo anadai kwa mwaka huo huo alianza digrii ya MSc 1998-2001, halafu PgDip (2000-2001), na PhD (2001-2003). Watu wengi wanaomfahamu ikiwa ni pamoja na waalimu wake wa SUA wanashangaa Mathayo aliwezaje kusomea vyeti vyote hivyo kwa muda wa miaka mitano huku akifanya kazi kama mtumishi wa serikali Botswana? Pia kashfa kwamba alikuwa akipokea mishahara miwili ya uwaziri na utumishi wa serikali ya Botswana haijajibiwa hadi leo. 1. http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=376 {{Wayback|url=http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=376 |date=20110716084750 }} 2. http://www.jambonetwork.com {{DEFAULTSORT:David, David Mathayo}} [[Jamii:Waliozaliwa 1969]] [[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=1139747.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|