Difference between revisions 983411 and 1003426 on swwiki{{Msanii muziki 2 |Jina = Professor Jay |Background = solo_singer |Img = |Img capt = |Jina la kuzaliwa = Joseph Haule |P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy |Asili yake = [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]] |Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}} |Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]] |Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]], |Miaka ya kazi = |Studio = |Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]] |Tovuti = http://www.Professorjay.net }} '''Joseph Haule''' (amezaliwa tar. [[29 Desemba]] [[1975]]) ni msanii wa [[muziki wa hip hop]] ambaye vilevile ni Mbunge wa ku[[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa jimbo la Mikumi kutoka mkoa wa Morogoro nchini [[Tanzania]].[[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Professor Jay'''. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew - [[Chemsha Bongo]]. Professor Jay anatokea kundi la [[Hard Blasters Crew]]. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya' kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa [[Tan(contracted; show full) {{DEFAULTSORT:Professor Jay}} [[Jamii:Waimbaji wa Tanzania]] [[Jamii:Hip Hop ya Bongo]] [[Jamii:Bongo Flava]] [[Jamii:Muziki wa Kizazi Kipya]] [[Jamii:Waliozaliwa 1975]] [[Jamii:Watu walio hai]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=1003426.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|