Difference between revisions 986119 and 990209 on swwiki

''<sup>Kuhusu matumIzi ya jina "'''Kausi'''" kwa sayari hii tazama sehemu ya "Jina"</sup>''
{{mergefrom|Neptune}}
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Neptune ilivyopigiwa [[picha]] na [[darubini ya angani ya Hubble]]I]]

'''Neptun''' ni [[sayari]] ya nane kutoka [[jua]] letu. Ni sayari kubwa ya [[nne]] ya [[mfumo wa jua]] na [[maada]] yake ni hasa [[gesi]] iliyoganda. Jumla ya [[masi]] yake ni mara 17 kuliko ya [[dunia]], hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake. Hivyo ni nzito kuliko sayari jirani [[Uranus]] lakini ndogo yake.

Ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] 13 na [[bangili]] nne zisizoonekana kwa urahisi. Mwezi mkubwa huitwa [[Triton]] na ukubwa wake hulingana na mwezi wa dunia yetu.

Neptun haionekani kwa [[macho]] matupu: ni lazima kutumia [[darubini]]. Hapo huonekana kama kisahani chenye [[rangi]] ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya [[methani]] inayopatikana kwa wingi katika [[angahewa]] yake.

== Jina ==
Jina la sayari kwa [[Kiingereza]] limetokana na [[mungu]] wa [[Roma ya Kale]] [[Neptunus]] aliyeaminiwa kutawala [[bahari]] na [[mito]]. [[Lugha]] nyingi [[duniani]] zimepokea jina hili kwa sababu [[astronomia]] ya zamani katika tamaduni mbalimbali haikujua sayari hiyo iliyojulikana tangu kupatikana kwa darubini tu. 

[[Vitabu]] kadhaa vinatumia jina la '''Kausi'''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata kamusi ya [[KAST]] na sasa pia [[KKK]]; lakini jina hili halipatikani katika kamusi nyingine.<ref>[[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Neptuni. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref>

== Tazama pia ==
* [[Mfumo wa jua]]

== Marejeo ==
<references/>

{{mbegu-sayansi}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}

[[Jamii:Sayar#REDIRECT[[Neptuni]]