Revision 772017 of "Kikibosho" on swwiki{{futa}}
Kikibosho ni kati ya lugha za kichaga ambazo ni rahisi sana kujifunza na kuzielewa. Mfano mtu anaposema kwa Kiswahili katika mifano ifuatayo,
1. "Twende", kwa kikibosho atasema " Ndefo"
2. "niletee maji ya kunywa. Kwa kikibosho atasema "ngendye muda o' nna"
3. "Twende tukalime". Kwa kikibosho atasema " ndefo lundedema"
4. " Unaitwa nani?. Kwa kikibosho atasema " Kuwango nyiwi" n.k.
This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|