Revision 851699 of "Unafiki" on swwiki'''Unafiki''' ni utovu wa [[ukweli]] katika mwenendo wa [[binadamu]] hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. kama mwanadini [[maadili|mwadilifu]].
Tofauti na [[mkosefu]], mnafiki anatenda vema kwa nje, lakini nia yake si kufuata [[dhamiri]] yake na maadili anayojua ni mazuri, bali ni kupendeza watu wengine ili kupata faida fulani kutoka kwao.
Ni jambo linalolaumiwa sana katika [[dini]] zote, hasa [[Ukristo]], kutokana na lawama za [[Yesu]] dhidi ya viongozi wengi wa [[Uyahudi]]. [[Injili]] zinasisitiza hasa lawama zake dhidi ya baadhi ya [[Mafarisayo]].
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Saikolojia]]
[[ar:نفاق]]
[[bs:Licemjerje]]
[[ca:Hipocresia]]
[[cs:Pokrytectví]]
[[da:Hykleri]]
[[de:Heuchelei]]
[[en:Hypocrisy]]
[[eo:Hipokriteco]]
[[es:Hipocresía]]
[[et:Silmakirjalikkus]]
[[fa:نفاق]]
[[fi:Tekopyhyys]]
[[fr:Hypocrisie]]
[[ga:Cealgaireacht]]
[[he:צביעות]]
[[hi:पाखण्ड]]
[[hr:Licemjerje]]
[[hu:Álszenteskedés]]
[[id:Hipokrisi]]
[[io:Hipokriteso]]
[[it:Ipocrisia]]
[[ja:偽善]]
[[kk:Екіжүзділік]]
[[nl:Hypocrisie]]
[[oc:Ipocrisia]]
[[pl:Hipokryzja]]
[[pt:Hipocrisia]]
[[ru:Лицемерие]]
[[sh:Hipokrizija]]
[[sq:Hipokrizia]]
[[sr:Хипокризија]]
[[sv:Hycklare]]
[[tr:İkiyüzlülük]]
[[uk:Лицемірство]]
[[yi:היפאקריטיע]]
[[zh:偽君子]]
[[zh-yue:偽君子]]All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?oldid=851699.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|