Revision 875662 of "Aulakogenia" on swwikiKwa [[Jeologia]], '''aulakogenia''' ni mkono uliogoma wa [[mikutano mitatu]] ya [[ufa (Jeologia)|ufa]] za [[boma za tektonika]]. Miungano mitatu chini ya boma za bara uanzisha mpasuko mara tatu ya boma hizi za bara. Boma za Bara zinapopasuka, moja wapo ya migongo hii mitatu hukoma kutapakaa ama kuacha kupasuka, na hivyo basi ufa ulioacha kupasuka, waitwa '''aulakogenia'''. na baadaye huwa [[grabenia]] iliojazwa na udongo kwa bara. Eneo kama hii, nimoja wapo ya eneo zinazo leta udhoofu wa mizizi ya mijengo.
[[Ugubaji wa Mississippi]] unaohusika na Eneo za [[mtetemeko wa arthi]] ambao inaitwa [[eneo za seismik za Madrid mpya]], nimoja wapo ya mfano wa aulakogenia ambao unatokana na upasukaji wa bara ya karne ya kale, ilioitwa [[Rodinia]]. Kwa kusini magharibi ukingo wa Europa kwa (ufuo wa [[Ureno]]) kuna ufa beseni inayoitwa (Beseni ya Lusitania) ambao ilitokana pamoja na eneo ya Canada ya Grand banks, ambapo viwanja za mafuta za Hibernia ziko. Beseni za ufa zilizo achwa na kusonga wima na kutoa ufuo, kama beseni ya Lusitanian, nimoja wapo ya mifano ya beseni zilizo chini ya bahari za ufa za kale.
{{mbegu-sayansi}}
[[Category:Boma za tektonika]]All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?oldid=875662.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|