Revision 888397 of "Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania" on swwiki'''''Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)''''' ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi wa [[Septemba]] katika mwaka wa [[1964]]. Tangu kuanzishwa kwake, iliwekwa sana kwenye vikosi vilivyokuwa vikishikiliwa na nguvu ya raia tu. Daima walikuwa wakikumbushwa tofauti zao baina yao na majeshi ya wa wakoloni. JWTZ walipewa dhamira yao ipasavyo: kuilinda [[Tanzania]] na kila kitu cha Mtanzania, hasa watu na itikadi yao ya kisiasa. Mabaharia wa JWTZ, marubani na maofisa walifunzwa huko [[Uchina]]ni.
==Historia ya awali==
Kuanzishwa kwa JWTZ kumepelekea kuvunjwa kwa [[Tanganyika Rifles]] baada ya uasi mnamo mwaka wa [[1964]]. Kikosi cha jeshi kiliasi mnamo mwezi wa Januari katika mwaka wa 1964. Uasi ulianza kwenye makazi ya jeshi ya Colito huko mjini [[Dar es Salaam]], halafu baadaye kusambaa kwenye makazi ya jeshi ya [[Kalewa]] huko mjini [[Tabora]] na [[Nachingwea]], baadaye kujenga majengo mapya na suti zikafuata. Uasi ulikuwa ukilipwa kwa kiasi cha juu sana, kupandishwa vyeo, kuondosha maofisa wa Kiingereza na wale Waliolewea-Afrika. Mwalimu [[Julius Nyerere]] amekubali kwamba "wanajeshi walinyanyasika hasa na madai yao yaliyoletwa ni ya msingi." Hata hivyo, hakuweza kuvumilia uasi. Uasi ulizua maswali mengi kuhusu eneo la kijeshi katika uhuru mpya wa Tanganyika — jeshi chini ya amri za kigeni na wala haijumuishi kwenye mfumo wa nchi. Baa ya uasi, jeshi lilivunjwa na kuanza kuandikisha jeshi jipya ndani ya [[TANU]] (TANU).
==Marejeo==
* [http://www.iss.co.za/Pubs/ASR/SADR3/Baynham.html Civil-Military Relations in Post-Independent Africa]
* [http://www.africa.upenn.edu/Newsletters/tno9.html Tanzania Refutes Cross Border Shelling]
* {{cite book |editor=Murdo Morrison) |title=Flight International |edition=Number 5063|year=2006|publisher=Flight Global|location=London |isbn=9-770015-371174-47 |chapter=World Air Forces |page=82}}
* {{cite book |author=Brian S. MacDonald |title=Military spending in developing countries |edition=Number 5063|year=1990|location=London |isbn=9-780886-2931-47 |chapter=Africa armed forces}}
==Viungo vya Nje==
*[http://www.tpdf.go.tz Official Website Tanzania People's Defence Forces]
*[http://www.iss.co.za/pubs/ASR/10No1/Lupogo.html Tanzania Civil-military Relations and Political Stability]
*Lillian Kingazi, [http://stinet.dtic.mil/oai/oai?verb=getRecord&metadataPrefix=html&identifier=ADA457499 Enhancing Human Resource Capabilities in the TPDF]
{{mbegu-Tanzania}}
[[Jamii:Jeshi la Tanzania]]
[[Jamii:Tanzania]]All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?oldid=888397.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|