Revision 947678 of "Neptun" on swwiki''<sup>Kuhusu matumzi ya jina "'''Kausi'''" kwa sayari hii tazama sehemu ya "Jina"</sup>''
{{mergefrom|Neptune}}
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Neptune ilivyopigiwa picha na [[darubini ya angani ya Hubble]]]]
'''Neptun''' ni [[sayari]] ya nane kutoka [[jua]] letu. Ni sayari kubwa ya nne ya [[mfumo wa jua]] na mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara 17 ya dunia hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake. Hivyo ni nzito zaidi kuliko sayari jirani Uranus lakini ndogo yake.
Ina miezi 13 na bangili nne zisizoonekana rahisi. Mwezi mkubwa huitwa [[Triton]] na ukubwa wake hulingana na mwezi wa dunia yetu.
Neptun haionekani kwa macho matupu ni lazima kutumia darubini. Hapo huonekana kama kisahani chenye rangi ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya methani inayopatikana kwa wingi katika angahewa yake.
== Jina ==
Jina la sayari limetokana na mungu wa Roma ya Kale [[Neptunus]] aliyeaminiwa kutawala bahari na mito. Lugha nyingi duniani zimepokea jina hili kwa sababu astronomia ya zamani katika tamaduni mbalimbali haikujua sayari hiyo iliyojulikana tangu kupatikana kwa darubini tu.
Vitabu kadhaa vinatumia jina la '''Kausi'''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload§ionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata kamusi ya [[KAST]]; lakini jina hili halipatikani katika kamusi nyingine.<ref>KAST ni kamusi ya pekee inayotumia "Kausi" kwa sayari hii. [[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Neptuni. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref>
== Tazama pia ==
* [[Mfumo wa jua]]
== Marejeo ==
<small><references/></small>
{{mbegu-sayansi}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
[[Jamii:Sayari]]All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?oldid=947678.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|