Difference between revisions 1065253 and 1086220 on swwiki

{{Msanii muziki 2
|Jina = Professor Jay
|Background = solo_singer
|Img =
|Img capt =
|Jina la kuzaliwa = Joseph Haule
|P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy
|Asili yake = [[Songea]], [[Tanzania]]
|Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}}
|Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]]
|Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]],
|Miaka ya kazi =Miaka ya 19901989-hadi sasa
|Studio =
|Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]], [[Taff B.]]
|Tovuti = http://www.Professorjay.net
}}
'''Joseph Leonard Haule''' (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii '''Professor Jay''' ila zamani '''Nigga Jay'''; amezaliwa [[29 Desemba]] [[1975]]) ni [[Mtanzania]] [[msanii]] wa [[muziki wa hip hop]] na vilevile [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>  

Katika Tanzania anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee wasikilize [[muziki]] wa [[Bongo Flava]]. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la [[Hard Blasters Crew]] - [[Chemsha Bongo]]. Kundi hilo ni moja ya makundi yaliyofanya muziki hup, ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya', kukubaliwa na sehemu kubwa ya Watanzania.Jay vilevile ni moja kati ya waanzilishi au wasanii wa awali kabisa katika muziki wa hip hop ya Tanzania.

== Maisha ya muziki ==
Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo [[miaka ya 1990]]1989 na alijiunga na kundi la '[[Hard Blasters Crew]]' (HBC) mwaka [[1994]]. Mwaka [[1995]] Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini [[Tanzania]]. 

(contracted; show full)*[http://www.swahiliremix.com Tovuti ya Swahili Remix]</p>
{{Mbegu-mwanamuziki-TZ}}
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1975]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]