Difference between revisions 1030429 and 1065253 on swwiki

{{Msanii muziki 2
|Jina = Professor Jay
|Background = solo_singer
|Img =
|Img capt =
|Jina la kuzaliwa = Joseph Haule
|P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy
|Asili yake = [[Songea]], [[Tanzania]]
|Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}}
|Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]]
|Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]],
|Miaka ya kazi =Miaka ya 1990-hadi sasa
|Studio =
|Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]], [[Taff B.]]
|Tovuti = http://www.Professorjay.net
}}
'''Joseph Leonard Haule''' (amezaliwa [[tarehe]]nafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii '''Professor Jay''' ila zamani '''Nigga Jay'''; amezaliwa [[29 Desemba]] [[1975]]) ni [[Mtanzania]] [[msanii]] wa [[muziki wa hip hop]] na vilevile [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>  

Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii '''Professor Jay''' (zamani '''Nigga Jay'''). Katika Tanzania anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee wasikilize [[muziki]] wa [[Bongo Flava]]. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la [[Hard Blasters Crew]] - [[Chemsha Bongo]]. Kundi hilo ni moja ya makundi yaliyofanya muziki hup, ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya', kukubaliwa na sehemu kubwa ya Watanzania.Jay vilevile ni moja kati ya waanzilishi au wasanii wa awali kabisa katika muziki wa hip hop ya Tanzania.

== Maisha ya muziki ==
(contracted; show full)

== Tuzo Alizopata ==
* '''1''' [[Kili Music Awards]] ([[2003]])
* '''2''' [[BBC]], [[Radio One Awards]] ([[2006]])
* '''3''' [[Kili Music Awards]] ([[2006]])

== 
DiskografiaAlbamu ==
Hizi ni sehemu ya albamu za muziki alizotoa Nigga Jay

*[[Machozi Jasho na Damu]] (2001)
*[[Mapinduzi Halisi]] (2003)
*[[J.O.S.E.P.H.]] (2006)
*[[Aluta Continua]] (2007)

== Alioshirikiana nao kimuziki ==
* '''1''' [[Lady Jay Dee]]. ( [[Bongo]] [[Dar es Salaam]] na Nimeamini)
* '''2''' [[Mc Babu Ayubu]].   ( Ndio Mzee )
* '''3''' [[Juma Nature]].  ( Ndio Mzee na Zali la Mentali )
* '''4''' [[Q Chilah]].     ( Msinitenge )
* '''5''' [[Inspector Haroun]]. ( Hakuna Noma )
* '''6''' [[Simple X]].          ( Piga Makofi na Hakuna Noma )
* '''7''' [[Jose Chameleone]].    ( Ndivyo Sivyo - Kutoka [[Uganda]] )
* '''8''' [[Adil a.k.a Hisabati]].    ( Tunawakilisha na Rapper Msaidizi kwenye Ziara - Kutoka [[Tanzania]] )

==Tanbihi==
{{reflist}}

==Viungo vya nje==
*[http://www.Professorjay.net Professor Jay Tovuti Binafsi]
*[http://www.kwetubongo.com Kwetu Bongo]
<p>*[http://www.swahiliremix.com Tovuti ya Swahili Remix]</p>
{{Mbegu-mwanamuziki-TZ}}
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1975]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]