Difference between revisions 1016975 and 1030429 on swwiki

{{Msanii muziki 2
|Jina = Professor Jay
|Background = solo_singer
|Img =
|Img capt =
|Jina la kuzaliwa = Joseph Haule
|P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy
|Asili yake = [[Songea]], [[Tanzania]]
|Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}}
|Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]]
|Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]],
|Miaka ya kazi =Miaka ya 1990-hadi sasa
|Studio =
|Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]], [[Taff B.]]
|Tovuti = http://www.Professorjay.net
}}
'''Joseph Leonard Haule''' (amezaliwa [[tarehe]] [[29 Desemba]] [[1975]]) ni [[Mtanzania]] [[msanii]] wa [[muziki wa hip hop]] na vilevile [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>  

(contracted; show full)<p>[http://www.swahiliremix.com Tovuti ya Swahili Remix]</p>

{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1975]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]