Difference between revisions 1016974 and 1016975 on swwiki{{Msanii muziki 2 |Jina = Professor Jay |Background = solo_singer |Img = |Img capt = |Jina la kuzaliwa = Joseph Haule |P.a.k = Jay Wamitulinga, Heavy wait MC, Daddy |Asili yake = [[Dar es SalaamSongea]], [[Tanzania]] |Amezaliwa = {{birth date|1975|12|29|df=yes}} |Aina = [[Muziki wa hip hop|Hip hop]] |Kazi yake = Mbunge (jimbo la Mikumi - Mkoani Morogoro), [[Kurap|Rapper]], [[mtunzi wa nyimbo]], |Miaka ya kazi =Miaka ya 1990-hadi sasa |Studio = |Ameshirikiana na = [[Lady Jay Dee]], [[Juma Nature]], [[Inspector Haroun]], [[Black Rhino]], [[Simple X]], [[Q Chillah]], [[A.Y.]], [[Mangwair]], [[Taff B.]] |Tovuti = http://www.Professorjay.net }} '''Joseph Haule''' (amezaliwa [[tarehe]] [[29 Desemba]] [[1975]]) ni [[Mtanzania]] [[msanii]] wa [[muziki wa hip hop]] na vilevile [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mikumi]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/262 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii '''Professor Jay''' (zamani '''Nigga Jay'''). Katika Tanzania anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee wasikilize [[muziki]] wa [[Bongo Flava]]. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la [[Hard Blasters Crew]] - [[Chemsha Bongo]]. Kundi hilo ni moja ya makundi yaliyofanya muziki hup, ambao hujulikana kama 'muziki wa kizazi kipya', kukubaliwa na sehemu kubwa ya Watanzania.Jay vilevile ni moja kati ya waanzilishi au wasanii wa awali kabisa katika muziki wa hip hop ya Tanzania. == Maisha ya muziki == Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo [[miaka ya 1990]] na alijiunga na kundi la '[[Hard Blasters Crew]]' (HBC) mwaka [[1994]]. Mwaka [[1995]] Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini [[Tanzania]]. (contracted; show full)<p>[http://www.swahiliremix.com Tovuti ya Swahili Remix]</p> {{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}} [[Jamii:Waliozaliwa 1975]] [[Jamii:Watu walio hai]] [[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]] [[Jamii:Bunge la Tanzania]] [[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=1016975.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|