Difference between revisions 1194130 and 1194131 on swwiki

'''Unafiki''' ni utovu wa [[ukweli]] katika mwenendo wa [[binadamu]] hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. kama mwanadini [[maadili|mwadilifu]].

Tofauti na [[mkosefu]], mnafiki anatenda vema kwa nje, lakini nia yake si kufuata [[dhamiri]] yake na maadili anayojua ni mazuri, bali ni kupendeza watu wengine ili kupata faida fulani kutoka kwao.

Ni jambo linalolaumiwa sana katika [[dini]] zote, hasa [[Ukristo]], kutokana na lawama za [[Yesu]] dhidi ya viongozi wengi wa [[Uyahudi]]. [[Injili]] zinasisitiza hasa lawama zake dhidi ya baadhi ya [[Mafarisayo]].

NB: mtu anaweza kukosa kitu anachokiitaji kutoka kwa mungu sababu ya unafiki. [[esùbe-mwenebatu-justin]]
{{mbegu-elimu}}

[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Saikolojia]]