Difference between revisions 1194131 and 1194140 on swwiki'''Unafiki''' ni utovu wa [[ukweli]] katika mwenendo wa [[binadamu]] hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. kama mwanadini [[maadili|mwadilifu]]. Tofauti na [[mkosefu]], mnafiki anatenda vema kwa nje, lakini nia yake si kufuata [[dhamiri]] yake na maadili anayojua ni mazuri, bali ni kupendeza watu wengine ili kupata faida fulani kutoka kwao. Ni jambo linalolaumiwa sana katika [[dini]] zote, hasa [[Ukristo]], kutokana na lawama za [[Yesu]] dhidi ya viongozi wengi wa [[Uyahudi]]. [[Injili]] zinasisitiza hasa lawama zake dhidi ya baadhi ya [[Mafarisayo]]. NB: mtu anaweza kukosa kitu anachokiitaji kutoka kwa mungu sababu ya unafiki. [[esùbe-mwenebatu-justin]]⏎ {{mbegu-elimu}} [[Jamii:Maadili]] [[Jamii:Saikolojia]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=1194140.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|