Difference between revisions 816341 and 820635 on swwiki

'''''Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)''''' ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi wa [[Septemba]] katika mwaka wa [[1964]]. Tangu kuanzishwa kwake, iliwekwa sana kwenye vikosi vilivyokuwa vikishikiliwa na nguvu ya raia tu. Daima walikuwa wakikumbushwa tofauti zao baina yao na majeshi ya wa wakoloni. JWTZ walipewa dhamira yao ipasavyo: kuilinda  [[Tanzania]] na kila kitu cha Mtanzania, hasa watu na itikadi yao ya kisiasa. Mabaharia wa JWTZ, marubani na maofi(contracted; show full)
[[Jamii:Jeshi la Tanzania]]
[[Jamii:Tanzania]]

[[bn:তানজানিয়ার সামরিক বাহিনী]]
[[en:Tanzania People's Defence Force]]
[[hu:Tanzánia hadereje]]
[[ja:タンザニア軍]]

[[zh:东非PLA]]