Difference between revisions 820635 and 888397 on swwiki

'''''Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)''''' ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi wa [[Septemba]] katika mwaka wa [[1964]]. Tangu kuanzishwa kwake, iliwekwa sana kwenye vikosi vilivyokuwa vikishikiliwa na nguvu ya raia tu. Daima walikuwa wakikumbushwa tofauti zao baina yao na majeshi ya wa wakoloni. JWTZ walipewa dhamira yao ipasavyo: kuilinda  [[Tanzania]] na kila kitu cha Mtanzania, hasa watu na itikadi yao ya kisiasa. Mabaharia wa JWTZ, marubani na maofi(contracted; show full)*[http://www.tpdf.go.tz Official Website Tanzania People's Defence Forces]
*[http://www.iss.co.za/pubs/ASR/10No1/Lupogo.html Tanzania Civil-military Relations and Political Stability]
*Lillian Kingazi, [http://stinet.dtic.mil/oai/oai?verb=getRecord&metadataPrefix=html&identifier=ADA457499 Enhancing Human Resource Capabilities in the TPDF]

{{mbegu-Tanzania}}

[[Jamii:Jeshi la Tanzania]]
[[Jamii:Tanzania]]


[[bn:তানজানিয়ার সামরিক বাহিনী]]
[[en:Tanzania People's Defence Force]]
[[hu:Tanzánia hadereje]]
[[ja:タンザニア軍]]