Difference between revisions 863743 and 863821 on swwiki{{otheruses|G20 (maana)}} {{Infobox organization | name = Group of Twenty Finance Ministers and Central Bank Governors | image = | image_border = | size = | caption = | map = G20.svg (contracted; show full) G-20 ni ukumbi wa ushirikiano na kushauriana kuhusu masuala yanayohusu [[mfumo wa kifedha]] wa [[kimataifa]]. Husomo, kupitia upya, na kukuza majadiliano kati ya nchi muhimu za viwanda na soko zinazoibukia kuhusu masuala ya sera zinazohusu uendelezaji wa udhabiti wa fedha kimataifa, na hutaka kushughulikia masuala ambayo yako nje ya majukumu ya shirika lolote. Kwa G-20 kuongeza nguvu tangu kongamano la [[Washington mwaka 2008]], viongozi wake walitangaza mnamo tarehe 25 Septemba , 2009, kwamba kundi hili lingechukua pahala pa [[G8]] kama halmashauri kuu ya kiuchumi ya mataifa tajiri.<ref>{{Cite news|url=http://www.cnn.com/2009/US/09/24/us.g.twenty.summit/index.html|title=Officials: G-20 to supplant G-8 as international economic council |publisher=CNN|date=2009-09-25|accessdate=2009-09-25}}</ref> (contracted; show full) ==Historia== [[File:Cumbre de Washington.jpg|thumb|250px|Kongamano la Viongozi wa G-20 kuhusu Masoko ya Fedha na Uchumi Duniani mjini Washington, DC tarehe 15 Novemba 2008]] G-20, ambayo ilichukua pahala pa [[G33]], ambayo pia ilikuwa imechukua pahala pa [[G22]], ilitajwa katika mkutano wa G7 mjini Cologne mnamo juni 1999, lakini ilianzishwa rasmi katika Mkutano wa [[G7]] wa mawaziri wa fedha mnamo tarehe 26 Septemba , 1999. Mkutano wa uzinduzi ulifanyika mnamo tarehe 15-16 Desemba 1999 mjini [[Berlin]]. Mwakani 2008 [[Uhispania]] na [[Uholanzi]] waliongezwa kwa mwaliko wa Ufaransa katika Mkutano wa G-20 wa Viongozi kuhusu masoko ya fedha na [[Uchumi Duniani]]. (contracted; show full)[[Jamii:Mashirika ya kimataifa ya kiuchumi]] [[en:G20 industrial nations]] [[ko:G20 공업화 국가]] [[ms:G-20 negara industri]] [[nl:G20]] [[pt:G20 maiores economias]] [[ru:Большая индустриальная двадцатка]] All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=863821.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|