Difference between revisions 943559 and 947779 on swwiki

[[Picha:Sanfranciscoearthquake1906.jpg|thumb|350px|Mji wa [[San Francisco]] ([[Marekani]]) baada ya tetetemo la ardhi la mwaka [[1906]].]]


'''Tetemeko la ardhi '''(pia: '''zilizala''') ni mishtuko ya ghafla ya ardhi. Inatokea mara kwa mara lakini mara nyingi ni hafifu mno haisikiki na wanadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu.

== Hatari za mitetemeko ya ardhi ==
(contracted; show full)


== Viungo vya Nje ==
* http://earthquake.usgs.gov/activity/past.html

[[Jamii:Gandunia]]
[[Jamii:Maafa asilia]]


{{Link FA|bs}}
{{Link FA|sk}}
{{Link FA|tt}}