Difference between revisions 943558 and 943559 on swwiki[[Picha:Sanfranciscoearthquake1906.jpg|thumb|350px|Mji wa [[San Francisco]] ([[Marekani]]) baada ya tetetemo la ardhi la mwaka [[1906]].]] '''Tetemeko la ardhi '''(pia: '''zilizala''') ni mishtuko ya ghafla ya ardhi. Inatokea mara kwa mara lakini mara nyingi ni hafifu mno haisikiki na wanadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu. == Hatari za mitetemeko ya ardhi == Tetemeko kubwa laweza kusababisha uharibifu mkubwa na vifo hasa kutokana na majengo yanayoanguka. Baharini tetemeko laweza kusababisha [[tsunami]] yaani wimbi kubwa lenye hatari pale linapofika pwani.. == Sababu == ===Hitimisho=== Sababu ya tetemeko ni mara nyingi miendo ya vipande vinavyofanya sehemu ya nje ya dunia. Umbo la dunia unafanana kiasi na chungwa: nje kuna ganda imara (linaitwa [[ganda la dunia]]) na ndani yake sehemu kubwa ni [[giligili]] ya moto. Lile ganda la nje si kipande kimoja lakini vipande mbalimbali vinavyoelea juu ya giligili moto ndani ya dunia. Vipande hivi kwa lugha ya kitaalamu huweza kuitwa [[mabamba]] ya [[ganda la dunia]]. Pale ambako vipande hivi vinagusana na kusukumana kunatokea [[msuguano]] na kushikana au kuachana kwa mabamba haya kunasababisha mishtuko ya tetemeko la ardhi. ===Maelezo ya tetemeko la ardhi kwa undani zaidi===⏎ Ili kufahamu sababu hiyo ya matetemeko ya ardhi, inabidi kufahamu mambo yanayoendelea chini ya ardhi. Kwanza ni lazima kufikiria muundo wa [[dunia]]. Dunia ina umbo la duar[[tufe]] kubwa. Umbali uliopo baina ya pande mbili tofauti kinyume za dunia ni kilomita elfu kumi na tatu. Katika sehemu ya nje ya dunia, ardhi ni thabiti (ngumu). DKwa nje dunia ina gamba la mwamba ngumu ambalo, kulingana na ukubwa wa dunia yenyewe, ni jembamba. Gamba hilo lina unene ya baina kilomita kumi na kilomita hamsini. Kama ungeweza kusafiri chini ya ardhi, yaani kuvuka gamba hilo, ungeona kwamba mazingira ni tofauti sana. Kila kitu kwenye dunia kinavutwa kuelekea sehemu ya kati ya dunia ([[graviti]]). Kwa hiyo kuna shinikizo kubwa mno chini ya gamba kutokana na msukumo kwa vitu vya juu kuelekea chini. Yote ni mwamba na chuma, lakini kutokana na shinikizo hilo, kuna joto kali sana, na mwamba na chuma chini ya gamba si imara. Kwa hiyo mwamba wa chumaChini yake yote ni mwamba na chuma katika hali ya joto kali. Hivyo mwamba na chuma katika kitovu cha dunia si imara bali umeyeyuka, kama [[lava|matope joto]] (inayoitwa lava) yanayotoka nje ya ⏎ ⏎ [[volkeno]] wakati wa [[Mlipuko wa volkeno|mlipuko]]. Ambapo matope hayo yanapokuwa baridi, yanakuwa imara kam⏎ ⏎ Hali ya [[magma|mwamba huo ulioyeyuka wenye joto mno]] ndani ya dunia unafanana na hali ya sufuria ya maji ya kuchemka. Katika sufuria tunaona ⏎ ⏎ mwamba wa kawaida. [[magma|Mwamba huo ulioyeyuka wenye joto mno]] unasogea ukizunguka chiendo fulani, na tukiweka jani kwenye maji tunaona jinsi inavyozunguka pamoja na maji ambayo yanachemka. Maana ndani ya kiowevi kinachochemka kuna mwendo. Mwendo huohuo unapatikana pia ndani ya gmwamba. Kwa upande wake, wa kuyeyushwa ndani ya dunia. Hivyo gamba linavutwa pia na mikonmdo ndani ya mwamba ulioyeyuka, likisogea ⏎ ⏎ pia. Kwa sababu ya kusukumwa, gamba huvunjika. Kwa hiyo badala ya pande moja zima la gamba, ⏎ ⏎ kuna baadhi ya [[Bamba la gandunia|mapande makubwa ya gamba]] yanayosogea yakiwa na nguvu kubwa mno. [[Picha:Quake_epicenters_1963-98_notitle.png|right|370px|thumb|Ramani inayoonyesha mahali duniani ambapo nishati ya matetemeko ya ardhi iliachiwa baina ya miaka 1963 na 1998. Kila nukta inaonyesha kitovu cha tetemeko moja.]] Katika baadhi ya sehemu za dunia, mapande hayo yanakutana yakipambana. Wakati huo, nguvu kubwa mno ⏎ ⏎ inasukuma mwamba thabiti wa gamba kuelekea juu na chini. Ndivyo hivyo baada ya miaka mingi sana, safu za milima zinavyojengwa. Pia pande moja linaposukumwa chini ya pande jingine, bonde kubwa sana linajengwa. Kwa mfano, kuna ufa mkubwa sana uliopo chini ya bahari, katika pwani ya [[California|Kalifornia]] magharibi mwa Marekani. Karibu na pwani ya nchi zilizopo katika pwani ya magharibi ya bara la [[Amerika]], kuna milima mingi kutokana na pande hilo (contracted; show full)* http://earthquake.usgs.gov/activity/past.html [[Jamii:Gandunia]] [[Jamii:Maafa asilia]] {{Link FA|bs}} {{Link FA|sk}} {{Link FA|tt}} All content in the above text box is licensed under the Creative Commons Attribution-ShareAlike license Version 4 and was originally sourced from https://sw.wikipedia.org/w/index.php?diff=prev&oldid=943559.
![]() ![]() This site is not affiliated with or endorsed in any way by the Wikimedia Foundation or any of its affiliates. In fact, we fucking despise them.
|