Difference between revisions 976926 and 976930 on swwiki

<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Zaha''' (pia: '''lava'''; [[ing.]] [[w:lava|lava]]) ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na joto kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya zaha. Sawa na magma yenyewe zaha inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .

Zaha inatoka nje kwa kawaida penye [[volkeno]] wakati wa mlipuko. Ikipoa inakuwa [[mwamba]] imarnaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye halijoto kati ya 600[[°C]] hadi 1200&nbsp;°C. Katika hali hii inasambaa nje ya shimNdani ya shimo la [[kasoko]] ya [[volkeno]] lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka. 

Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto lwa [[kasoko]]moto. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.

Ikipoa inaganda na kuwa [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] imara

<gallery>
Image:Stromboli Eruption.jpg|Mlipuko wa volkeno ya [[Stromboli]] ([[Italia]])- kile chekundu kwenye picha ni zaha.
Image:Aa_large.jpg|Mto wa zaha kwenye volkeno ya [[Kilauea]] ([[Hawaii]])
Image:PahoehoeLava.jpg|Zaha ikipoa inaweza kuonekana hivyo. 
Image:Nyiragongo lava lake.jpg|Ziwa la zaha ndani ya [[kasoko]] ya mlima [[Nyiragongo]] huko [[Goma]] (Kongo)
Image:Kalapana_house_destroyed_by_lava.jpg|Mto wa zaha inavyoharibu nyumba huko Hawaii mwaka 1990
</gallery>

== Marejeo ==
<references/>


[[Jamii:Volkeno]]
[[Jamii:Jiolojia]]